Ticker

7/recent/ticker-posts

MAITI ILIYOKAUSHWA KWA MIAKA 128 KUZIKWA WIKI HII.

Mwili wa mwanaume  aliyefariki miaka 128 iliyopita na kuhifadhiwa katika jumba la huduma ya mazishi kwenye mji wa Reading, Pennyslyvania nchini Marekani unatarajiwa kuzikwa wiki hii.

Mtu huyo aliyekulikana kwa jina la Stoneman Willie alifariki akiwa gerezani, Novemba 19, 1985 baada ya figo zake  kushindwa kufanya kazi kutokana na ulevi uliopindukia.

Willie hakuweza kutambuliwa na ndugu, jamaa na marafiki kwakuwa alitumia jina la uongo baada ya kukamatwa.

Post a Comment

0 Comments