Ticker

7/recent/ticker-posts

NABI AACHA SIMAMZI YANGA, MAYELE NAE ATAJWA

Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na kocha wao, Nasreedine Nabi baada ya kocha huyo kuomba kutoongezewa mkataba mpya.

Hatua hiyo imekuja baada ya mkataba wa kocha huyo kufikia kikomo mwishoni mwa msimu wa 2023/23 uliofikia tamati Juni 9,2023.

Mbali na Nabi pia inaelezwa upo uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wao mahiri na hatari Fiston Kalala Mayele nae kuondoka ndani ya klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments