Ticker

7/recent/ticker-posts

MKURUGENZI TPA ATOA UFAFANUZI SAKATA LA BANDARI

● "Bandari ya Dar es Salaam iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni ya  kuendesha bandari ni wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba wake umeisha Desemba 2022, na sasa tumeanza hatua nyingine za kuboresha zaidi"

● "TPA bado haijasaini Mkataba na kampuni yeyote, Mkataba uliosainiwa ni kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai na ni kuhusu ushirikiano kwenye masuala ya bandari kuhusu tehama, mafunzo ya uendelezaji na uendeshaji wa bandari, baada ya hapo ndiyo kutakua na mikataba ya utekelezaji"

● "Kinachoongelewa sasa mtandaoni ni mikataba ya utekelezaji ambayo bado haijajadiliwa na wala haijasainiwa, kwa mtu anayesema kuna mwekezaji kapewa miaka 100, atakua anatatizo kidogo hakuna nyaraka yeyote iliyosema tumesaini miaka 100."

● "Kilichosainiwa ni Framework Agreament baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai halafu baadaye kutakua na mikataba

Post a Comment

0 Comments