Ticker

7/recent/ticker-posts

JOSE MOURINHO NI KOCHA WA MATAJI, REKODI YAKE INASISIMUA

"SPECIAL ONE" Chelsea hawajashinda Ligi kuu Uingereza kwa miaka 50 José Mourinho alikuja na kushinda akiwa na Chelsea. 

Inter Milan hawakushinda Champions League kwa miaka 45 José Mourinho alikuja na kushinda akiwa na Inter Milan. 

Real Madrid hawakushinda Copa del Rey kwa miaka 22 José Mourinho alikuja na kushinda akiwa na Real Madrid. 

Manchester United haikushinda Kombe la Euro kwa miaka 9 José Mourinho alikuja na kushinda taji. 

Roma walikuwa hawajawahi kushinda Kombe la Euro katika historia yao José Mourinho alikuja na kushinda Europa Conference League. 

Kocha wa kwanza katika historia kushinda Vikombe vyote vya Euro. Uefa Champions League Uefa Europa League na Europa Conference League

Post a Comment

0 Comments